We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, June 27, 2019

Liverpool yaanza usajili yamchukua beki Mholanzi mwingine

Klabu ya Liverpool imemsajili beki Sepp van den Berg menye miaka 17 kutoka ligi ya Eredivisie kwenye klabu ya PEC Zwolle.

Van den Berg atakamilisha usajili huo Julai 1, ambapo Liverpool italipa kiasi cha awali cha £1.3m.

Ada ya mchezaji huyo wa Uholanzi itaongezeka kufikia £4m, kutegemea na idadi ya mechi za Ligi kuu na Ulaya atakazo cheza kwa mabingwa hao wa Ligi ya mabingwa Ulaya.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list