We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, May 2, 2019

TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA LEO ALHAMISI

Kiungo wa kati wa Tottenham Christian Eriksen, 27, amekubali kujiunga na Real Madrid japo hajasaini mkataba. (AS)
Menyekiti wa Spurs Daniel Levy huenda akaitisha pauni milioni £128 kumuuza kiungo huyo wa kimataifa wa Denmark. (Mirror)
Manchester United wameongeza juhudi za kuwanunua wachezaji wawili wa Urenos – mshambuliaji wa Benfica Joao Felix, 19, na kiungo wakati Bruno Fernandes, 24. (London Evening Standard)
Real nao huenda wakasubiri hadi mwaka 2020 kumsaini Eriksen kwa uhamisho wa bure. (Sun)

Rio FerdinandHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionRio Ferdinand

Mlizi wa zamani wa United Rio Ferdinand amefanya mazungumzo ya kina na klabu hi ya Old Trafford kuhusu hatua ya kufanyia marekebisho safu ya ufundi ambayo imemfurahisha naibu mwenyekiti mkuu Ed Woodward huku akipigiwa upatu kuwania wadhifa wa mkurugenzi wa kiufundia. (Manchester Evening News)
Meneja Ole Gunnar Solskjaer anatarajiwa kumteu Mike Phelan kama mkurugenzi wa kwanza wa kiufundi. (Times – subscription required)
Kiungo wa kati wa Arsenal na Ujerumani Mesut Ozil, 30, anasisitiza kuwa anaridhia kuwa katika klabu hiyo na kwamba anatazamia kuendelea kuwa nao msimu ujao. (Sky Sports)

Mesut OzilHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMesut Ozil (Kushoto)

Meneja wa Tottenham Mauricio Pochettino huenda akakabiliwa na upinzani mkubwa kutoka kwa vilabu vingine vya Uingereza katika soko la uhamisho wa wachezaji msimu huu wa joto. (Telegraph)
Kiungo wa kati wa Chelsea na Ubelgiji katika kikosi cha wachezaji wa chini ya miaka 21 Charly Musonda, an matumaini ya kurejea klabu ya Vitesse msimu ujao. (Inside Futbol)
Manchester United wako tayari kumjumuisha katika kikosi cha kwanza mlinzi wa England Axel Tuanzebe, ambaye yuko Aston Villa kwa mkopo. (Mail)

Axel TuanzebeHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionAxel Tuanzebe

Mwenyekiti wa Crystal Palace na mmiliki mwenza wa klabu hiyo Steve Parish amewahakikishia mashabiki kuwa “hatapumzika” hadi kiwango cha mchezo wao kiimarike, hali ambayo itaongeza idadi ya mashabiki katika uwanja wa Selhurst Park kutoka 26,000 hadi 34,000. (London Evening Standard)
Mlinzi wa zamani wa Arsenal abriel Paulista, 28, ambaye anajiandaa kukutana na klabu yake ya zamani katika nusu fainalii ya ligi ya Europa na anasisitiza kuwa hana chochote cha”kuthibitishia” Gunners. (Independent)

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list