Bingwa mara mbili wa mashindano ya riadha katika umbali wa mita 800, Caster Semanya kutoka nchini Afrika ya kusini baada ya miezi kadhaa nyuma kuzindi kuandamwa kutokana na jinsi yake. Mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 28 tayari shirika la riadha duniani 1AAF lilimtaka kujua jinsi yake kwa mara nyingine.huku kinachopelekea mwanariadha huyo kuchunguzwa ikiwa ni yeye kuoa mwanamke na anaishi nae.
Sasa leo hii Mwanariadha huyo Caster #Semenya ameshindwa kesi yake ya Rufaa dhidi ya Shirikisho la Riadha Duniani (IAAF) na sasa chombo hicho kinachosimamia mchezo huo kitaruhusiwa kudhibiti viwango vya hormone za testosterone zinazoruhusiwa kwa wanariadha wanawake.
Mahakama hiyo ya kutatua mizozo katika michezo (Cas) imekataa pingamizi la mwanariadha huyo kutoka Afrika kusini mwenye mkanganyiko wa hormani aliyekuwa akipinga sheria mpya za IAAF.
Baada ya maamuzi hayo ya mahakama Semanya ameongelea suala hili na kusema kuwa ” “Nitaendelea kuhamasisha wanawake wadogo na wanariadha duniani kote”
“Najua kwamba kanuni za IAAF zimekuwa zimezingatia hasa.
“Kwa miaka kumi IAAF imejaribu kunipunguza, lakini hii imenifanya imara.
“Uamuzi wa CAS hautanizuia.
“Nitaongezeka tena na kuendelea kuhamasisha wanawake na wanariadha wa Afrika Kusini na duniani kote.”
No comments:
Post a Comment