Kiungo mshambuliaji wa APR Issa Bigirimana amesajiliwa na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili, imefahamika
Bigirimana anaungana na winga Patrick Sibomana ambaye alimalizana na Yanga jana kwa kusaini mkataba wa miaka miwili pia
Jana Zahera alikamilisha usajili wa baadhi ya wachezaji ambapo amesema wengine watasaini mikataba yao leo na kesho
Bado uongozi wa Yanga haujaweka hadharani majembe yote yaliyokamilisha usajili, bila shaka taarifa hiyo itatolewa wakati wowote

No comments:
Post a Comment