We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, May 29, 2019

Maneno ya kwanza ya Jacqueline kwa Mumewe Dkt. Reginald Mengi

Ikiwa tayari zimepita siku 27  tokea kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni za IPP Dkt. Reginald Mengi kufariki mkewe ambaye ni Jacqueline Mengi amekuwa kimya kwenye mitandao ya kijami na leo ameandika ujumbe kwa mume wake ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa.
“Leo tungekuwa tuna kusheherekea wewe, kama nikifumba macho yangu naweza kuona namna unavyo tabasamu pale tunapokuimbia heri ya kuzaliwa. Hakuna neno la kuelezea ni kiasi gani Mimi na watoto tulivyokukumbuka, kuamka kila siku bila wewe. Heri ya kuzaliwa mpenzi wangu wa kweli, milele mioyoni mwetu.” ameandika Jacquline kupitia ukurasa wa Twitter.
Dkt Reginald Mengi ameacha jumla ya watoto wanne ambapo watoto wawili mapacha wa kiume alizaa na Jacquline Mengi na leo hii May 29,2019 angekuwa akitimiza miaka 75. Marehemu Reginald Mengi alifariki May 2,2019akiwa Falme za Kiarabu Dubai kwa ajili ya matibabu.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list