We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, May 2, 2019

Ben Pol mbioni kupata watoto mapacha na mpenzi wake Mkenya

Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya staa wa Bongo Fleva Ben Pol kutangaza kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake Anerlisa Muigaikutokea nchini Kenya, sasa inaelezwa kuwa wawili hao wanatarajia kupata watoto mapacha.
Taarifa hizo njema zimetolewa na Anerlisakupitia insta story yake ambapo aliandika “Nina sali ili mapacha wafanane na wewe” . Lakini kwa upande wa Ben Pol tayari ana mtoto mmoja wa kiume aliyezaa na mpenzi wake wa zamani anayefahamika kama Latifa.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list