We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, March 28, 2019

Simba SC kuondoka Dar kesho asubuhi kuwafuata Mbao FC


Kikosi cha Simba SC kesho asubuhi kitaondoka jijini Dar es Salaam kwenda Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mbao FC ambao utapigwa siku ya Jumapili kwenye uwanja wa Jamhuri. 

Ukiachana na mchezo huo, pia wana kibarua cha kucheza na TP Mazembe Aprili 5 kwenye hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. 

Mshambiliaji wa Simba SC, Kagere kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa mpaka sasa ametupia mabao sita huku kwenye ligi akiwa amecheka na nyavu mara 13. 

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list