Msanii wa Muziki Nay wa Mitego amechora tattoo mpya mkononi mwake huku akidai kitu alichokichora ni kitu ambacho kinampatia mafanikio zaidi kupitia muziki wake.
Rapa huyo amedai mpaka sasa yeye sio muhumini wa dini yoyote kwani pesa kwake ndio kila kitu huku akidai hata Freemason wakija yupo tayari kujiunga nao kwaajili ya kupiga pesa.
No comments:
Post a Comment