We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, March 28, 2019

Kutana na familia inayotemebea kwa kutumia miguu na mikono (+video)

Hii ni Familia inayopatikana nchini Uturukiambayo hutembea kwa kutumia miguu na mikono kwa pamoja tofauti na Watu wengine, Wanasayansi wanadai Familia hii inasumbuliwa na tatizo linalowafanya wakose balansi wakitembea kwa miguu peke yake hivyo kuwalazimu kutumia na mikono.
Inaelezwa kuwa familia hiyo ina Watoto watano wenye tatizo hilo na iligunduliwa kwa mara ya kwanza mwaka 2005  na cha kushangaza zaidi ni kwamba Wazazi wa Watoto hao hawana kabisa tatizo hilo hivyo wao hutembea kawaida kama Binadamu wengine.
Wanasayansi wanasema tatizo hilo hushambulia sehemu ya ubongo inayohimili balansi hivyo kuwafanya kukosa balansi ya kutembea kwa miguu peke yake.Aidha bado haijajulikana tiba ya tatizo hilo la kimwili ambalo sio la kawaida.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list