We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, March 28, 2019

Serikali Yaweka Mapingamizi Matatu Kesi Ya Joshua Nassari Kupinga Kuvuliwa Ubunge

Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imepanga March 29, 2019 mwaka huu kutoa uamuzi wa mapingamizi matatu yaliyowekwa na upande wa Serikali hii jana katika kesi ya maombi madogo ya kufungua kesi ya msingi kwa ajili ya kutengua uamuzi wa Spika wa Bunge wa kumfutia ubunge Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.

Utakumbuka, Machi 20 mwaka 2019 mahakama ilitoa siku 7 kwa upande wa Serikali kupeleka kiapo kinzani cha maombi hayo.Jaji aliagiza pia kusifanyike uchaguzi wowote jimboni hadi hapo maombi hayo yatakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list