We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, January 31, 2019

Kiongozi wa upinzania afanya mazungumzo na wanajeshi


Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela Juan Guaidó amefanya mazungumzo ya siri na wanajeshi kutafuta uungwaji mkono wao wa kumng'atua madarakani rais Nicolás Maduro. 

Mwezi uliyopita Bw. Guaidó alijitangaza kuwa rais katika hatua ambayo imeungwa mkono na Marekani na mataifa kadhaa ya Amerika kusini. 

Mataifa ya Urusi na China yanamuunga mkono Maduro lakini msaada wa jeshi ni muhimu kwa juhudi zake za kusalia madarakani. 

Mzozo ulianza baada ya Bw. Nicolás Maduro kuanza muhula wa pili madarakani licha ya uchaguzi kukumbwa na mzozo,Wagombea wengi wa upinzani walizuiliwa kushiriki uchaguzi huo na wengine kufungwa jela. 

Karibu watu milioni tatu wametoroka nchini Venezuela kufuatia mzozo wa kiuchumi huku taifa hilo likikumbwa upya na ghasia hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list