Wasanii wa muziki Bongo, Vanessa Mdee wanatarajia kuendelea na ziara yao ya kimuziki 'In Love & Money' katika nchi ya Burundi.
Ni mara ya kwanza kwa wasanii hao kwa pamoja kufanya ziara nje ya nchi. Wanatarajia kufanya
tamasha lao Burundi March 3 mwaka huu.
Utakumbuka mwaka jana ndipo Vanessa na Jux walianza ziara hiyo ambapo walifanikiwa kutumbuiza kwenye mikoa ya Mwanza, Mtwara, Dodoma, Arusha na Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment