Wazee wametakiwa kutoa nafasi kwa Vijana kugombea katika nafasi za Uongozi na kuacha tabia ya kuwatisha na kuwazuia vijana ili kuwajengea msingi mzuri na kuwapima katika nafasi mbalimbali ili kujenga vViongozi watakaoongoza kwa hekima na busara.
Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa (UVCCM) Kheri James Mkoani Kigoma wakati wa uzinduzi wa ‘Oparesheni ya Kigoma ya Kijani’.
No comments:
Post a Comment