We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, September 26, 2019

Tetesi za usajili barani ulaya Leo Alhamisi

Real Madrid inamtaka kiungo wa kati wa Tottenham raia wa Denmark Christian Eriksen, mwenye umri wa miaka 27, kusaini mkataba wa awali mwezi Januari - na baadae atahamia Spurs kwa meneja Mauricio Pochettino. (Mirror)
Tottenham wanahofia Eriksen atakataa mapendekezo ya kumuuza mwezi Januari , hii ikimanisha kuwa anawza kuondoka kwa uhamisho usio na malipo msimu ujao. (Mail)
Mshambuliaji wa timu ya Juventus Mario Mandzukic alikataa euro milioni 7 alizopewa kwa mwaka kuichezea timu ya Qatar kwa hiyo Mcroatia huyo mwenye umri wa miaka 33 ana fursa ya kujiunga na Manchester United mwezi Januari mwaka ujao. (Mail)

Mario Mandzukic alikataa euro milioni 7 alizopewa na Qatar
Image captionMario Mandzukic alikataa euro milioni 7 alizopewa na Qatar

Mwenyekiti wa klabu ya Tottenham Daniel Levy amejiandaa kumthamanisha mchezaji Harry Kane, mwenye umri wa miaka 26 katika kiwango cha thamani ya euro milioni 250 , kwa lengo la kuendelea kubaki na mshambuliaji huyo wa England hadi mwisho wa kile kinachoweza kuwa ni msimu mwingine Spurs kukosa kombe. (Telegraph)
Boca Juniors wametoa ofa yao ya kutaka kusaini mataba na mchezaji wa safu ya mashambulizi Mswiden Zlatan Ibrahimovic, mwenye umri wa miaka 37, kutoka LA Galaxy. (AS)

Totttenham yaazimia kumtahamanisha Harry Kane kwa kiwango cha thamani ya euro milioni 250
Image captionTotttenham yaazimia kumtahamanisha Harry Kane kwa kiwango cha thamani ya euro milioni 250

Mshambuliaji wa RB Salzburg raia wa Norway Erling Braut Haaland, mwenye umri wa miaka 19, amedokeza kuwa atahamia katika Primia Ligi baada ya kufunga mabaoi matatu katika gemu moja katika mchezo wa Championi Ligi . (mail)

Mshambuliaji wa Manchester City Raheem SterlingHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMshambuliaji wa Manchester City Raheem Sterling

Meneja wa zamani ya klabu ya Manchester City Kevin de Bruyne, mwenye umri wa miaka 28, amemuambia kuwa anatakiwa kujiunga na Paris St-Germainikiwa anataka kushinda Championi Ligi . (Het Nieuwsblad via Sun)
Mchezaji mashuhuri wa Barcelona Xavi, ambaye kwa sasa ni kocha wa Qatar, anamuona mshambuliaji wa Manchester City Raheem Sterling, mwenye umri wa miaka 24, kama mchezaji anayefaa kusaini mkataba nae ikiwa wakati mmoja ataiongoza Nou Camp. (Mail)

Kevin de BruyneHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionKevin de Bruyne amemuambia mshambuliaji wa RB Salzburg raia wa Norway Erling Braut Haaland, anatakiwa kujiunga na Paris St-Germainikiwa anataka kushinda Championi Ligi

Makamu mwenyekiti mtendaji wa Manchester United Ed Woodward amefanya mazungumzo na Glazers kuhusu kufanya mabadiliko ya kile alichokitaja kama 'utamaduni ' katika klabu hiyo. (Express)
Barcelona wanataka kuhakikisha kwamba kiungo wa safu ya mashambulizi Ansu Fati mwenye umri wa miaka 16 hasafiri kuelekea katika michuano ya Kombe la dunia la vijana walio chini ya umri w amiaka 17 ili aweze kucheza gemu dhidi ya mahasimu wao Real Madrid tarehe 26 Oktoba. (Marca)
Manchester United walilazimika kumtafuta kiungo wa kati Peter Thomas kutoka Rochdale ambaye alikuwa mchezaji wa ziada ambaye hatimae hakutumiaka kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Carabao Cup katika kipindi cha dakika 15 pekee (Sun)

Ole Gunnar Solskjaer anasema kutompa unahodha wa Manchester United hakuna uhusiano wowote na taarifa za Pogba kuihama timuHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionOle Gunnar Solskjaer anasema kutompa unahodha wa Manchester United hakuna uhusiano wowote na taarifa za Pogba kuihama timu

Uamuzi wa Ole Gunnar Solskjaer wa kutompa kiungo wa kati Paul Pogba fursa ya kuwa na nahodha wa Manchester United hauna uhusiano wowote na taarifa za kuhusishwa uhamisho wa Mfaransa huyo - ilikuwa ni kwasababu Axel Tuanzebe alikulia katika Rochdale. (Mirror)

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list