Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimewasili salama nchini Burundi tayari kwa mchezo wa kusaka tiketi ya michuano ya kombe la dunia, kesho ikiumana na wenyeji wao Burundi
Stars imewasili Burundi ikiwa na nyota wake wote wakiongozwa na Mbwana Samatta
Msafara wa timu hiyo ulipokewa na waandishi wa habari kutoka Tanzania ambao walitangulia kwa basi nchini humo

No comments:
Post a Comment