We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, September 18, 2019

RC Mwanri “Unagraduate leo unafeli leo, chajini kichwa, msibaki kama dimbwi” (+video)

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanriamefunga mradi wa Heifer Tanzania wa Igunga ECOVILLAGE unaofadhiliwa na Serikali ya Uholanzi uliokuwa ukifanywa kwenye jamii ili kuwafundisha kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
katika hafla ya kufunga mradi huo RC Mwanriamewataka wananchi kutumia elimu waliopatiwa katika kutunza mazingira.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list