We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, September 18, 2019

MO Dewji aomba msamaha sakata la kutekwa kwake

Moja ya kitu kilichozua mjadala mtandaoni leo Sepetember 18, 2019 ni kutoka kwa Mfanyabiashara Mohammed Dewji ambaye aliwataka watu kutofautisha “Kuna maisha ya mtandaoni na maisha halisi”.
Baada ya muda mfupi watu walianza kumkosoa mmojawapo ni Maria Sarungi Tsehai alieandika Bring Back Mo ilikuwa maisha ya mtandaoni au maisha halisi? Tutaelewana Tu”
MO Dewji baada ya kuona hivyo akaamua kuomba msamaha “Nisamehe sana dada yangu. Naona umeichukulia tweet yangu out of context. Narudia kuwashukuru wote ambao mliniombea ne kunisemea”.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list