Rais wa Tanzania, John Magufuli amewahakikishia watuhumiwa wa uhujumu uchumi wenye nia ya kuandikia barua kuomba kutubu na kurejesha fedha na mali wasiwe na wasiwasi kwamba wakishakiri ndio utakuwa ushahidi. Asema ni msamaha wa kweli.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment