We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, September 15, 2019

Povu la Haji Manara Baada ya mashabiki wa Yanga kuwapa kipigo Mashabiki wa Simba

Afisa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara ameeleza kusikitishwa na kitendo cha mashabiki wa timu hiyo kupigwa na wenzao wa Yanga jana walipoenda kushuhudia mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Yanga dhidi ya ZESCO United
Manara amesema huo ni utamaduni wa hovyo ambao unafaa kukomeshwa kwani mashabiki hao walitumia utashi wao kwenda kushuhudia mchezo huo wakiwa wamevaa jezi za timu yao pendwa, Simba
"Shida ya Washabiki wa 'Kwala' hujiona wao wana haki zaidi ya wenzao"
"Wao walikuja kutuzomea mechi na UD Songo,walifanya hvyo na Nkana,Mbambane,Vita na hata Mazembe,hakupigwa mtu wao wala hakufanyiwa fujo"
"Kwa nini wafanye hivi,? alihoji Manara"
"Naamini mamlaka zitachukua hatua,wakiacha huu ujinga kuna siku tutalia na tusiowajua!! Poleni Wanasimba na Mungu kawajaalia kupenda klabu ya Watu waliostaarabika"

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list