We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, September 26, 2019

Nida yatoa utaratibu mpya kupata namba ya utambulisho wa taifa

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewarahisishia  wananchi kwa kuweka utaratibu mpya wa kuipata namba ya utambulisho wa Taifa (NIN)  kwa njia ya mtandao.

Taarifa iliyotolewa na Nida jana Jumatano Septemba 25, 2019 kupitia kitengo cha mawasiliano na hifadhi hati ilisema namba hiyo sasa imeanza kutolewa kupitia tovuti ya mamlaka hiyo kwa muombaji kutembeleahttps://services.nida.go.tz/nidportal/get_nin.aspx

Taarifa ya Nida ilibainisha kwamba huduma hiyo itawarahisishia waombaji wa vitambulisho vya Taifa kupata NIN bila kwenda ofisi za mamlaka hiyo.

Hatua za kufuta kupata namba ya NIN

1.Bonyeza kitambulisho cha Taifa

2.Fahamu namba ya utambulisho wa Taifa

3.Andika jina lako la kwanza, jina la ukoo, tarehe ya kuzaliwa, jina la kwanza la mama na jina la mwisho la mama

4.Bonyeza Tafuta

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list