Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa siku moja kwa Mratibu wa wWakala wa Barabara za Mjini na Vijijini TARURA Mkoa wa Tabora kuhakikisha anawasilisha taarifa ya ujenzi wa barabara ya Nyerere Kata ya Ipuli inayojengwa na Mkandarasi CICO baada kukuta nyufa kwenye barabara pamoja na nyaraka za malipo zisizo na sahihi ya Mkurugenzi.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment