Baada ya mapumziko ya kalenda ya michuano ya FIFA, Simba itarejea dimbani Septemba 17 kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru
Itarejea tena uwanjani hapo kuikabili Lipuli Fc Septemba 22
Kulingana na ratiba iliyotolewa na uongozi wa Simba, mwezi huu wa tisa mabingwa hao wa Tanzania Bara watashuka dimbani mara mbili tu
Kocha Patrick Aussems aliwapa mapumziko wachezaji wake hadi Septemba 05 waterejea kuendelea na mazoezi
No comments:
Post a Comment