We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, September 26, 2019

Kwa huzuni Baba ‘Mwanangu amefariki akiwa na Mtoto wa Mkuu wa Majeshi” (+video)

Leo September 26, 2019 Wilboard Olotu ni Baba mzazi wa Nelson Olotu ambaye alifariki akiwa na mwenzake Nelson Mabeyo ambae ni mtoto wa Mkuu wa Majeshi amezungumza nakuishukuru SerIkali kwa kumfariji huku akisema mazishi ya mwanae yanatarajia kufanyika September 27 nyumbani kwake.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list