We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, September 18, 2019

''KAMA SIO MTANZANIA USIINGIE HUKU SIO ANGA ZAKO,UKICHAGUA MTU MLENDA ITAKULA KWAKO''RC KIGOMA

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emanuel Mganga amewataka wananchi wa Kijiji cha Malenga kata ya Rugenge Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma kushiriki vyema uchaguzi wa serikali za mitaa na kufata Sheria za Uchaguzi na kuchagua viongozi Bora watakao leta mendeleo katika maeneo yao na Kuwaonya Wananchi wasio wa Nchi ya Tanzania kuvuruga uchaguzi kwa Kugombea katika Kijiji hicho. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma ameyasema hayo alipokua akiongea na Wananchi katika soko la ujirani Mwema liitwalo Lugando Mpakani mwa Burundi na Tanzania ambapo linahusisha Nchi mbili kufanya biashara.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list