We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, September 18, 2019

Kagere chini ya uangalizi maalum

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema mshambuliaji hatari wa timu hiyo Meddie Kagere alipata majeraha madogo kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar
Kagere hakuwa sehemu ya wachezaji waliofanya mazoezi jana kwenye uwanja wa Gymkhana na kuibua maswali kuhusu alipo kinara huyo wa mabao
Hata hivyo Aussems amesema mchezaji huyo yuko chini ya uangalizi maalum kufuatia majeraha hayo
Aussems ameongeza kuwa kwa sasa safu yake ya ushambuliaji inamtegemea zaidi yeye kutokana na washambuliaji wengine John Bocco na Wilker Da Silva kutokuwa fiti
Hivyo wanalazimika kuwa makini na afya yake
Kagere ameanza msimu mpya kwa kishindo akiwa akiwa tayari amefunga mabao matatu katika michezo miwili aliyocheza

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list