We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, September 18, 2019

Samatta kaandika historia Champions League licha ya kipigo cha 6-2

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta anaandika historia mpya katika maisha yake ya soka akiichezea club ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji, Samatta akiwa na Genk ambao inatajwa kama under dog wa Kundi E zilizopo timu za Napoli ya Italia, Liverpool ya England na RB Salzburg ya Austria.
Jana walikuwa ugenini Austria kukipiga dhidi ya RB Salzburg na kujikuta wakipoteza kwa kufungwa magoli 6-2, mtanzania Mbwana Samatta akifunga goli la pili la Genk kwa kichwa dakika ya 52 ya mchezo huo ulioshia kwa kumshundia kinda Braut Haland akipiga hart-trick.
KRC Genk sasa wana mtihani mwingine kucheza dhidi ya Napoli ya Italia katika mchezo wao wa pili wa Kundi hilo, Napoli wanaingia wakiwa na moto wametoka kumfunga Bingwa mtetezi wa michuano hiyo club ya Liverpool.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list