We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, September 26, 2019

Ajiua kwa moto wa petroli kisa mapenzi

Mwanaume mmoja Raia wa Marekani Ashley Martin (32), amemuua mpenzi wake wa zamani pamoja na mwanaume aliyekuwa kwenye mahusino mapya na mwanamke huyo, kwa kuichoma moto nyumba waliyokuwa wakiishi wawili hao iliyopo katika mji wa Linconshore.


Inadawa kwamba mwanaume huyo alipanga mauaji hayo kama kulipiza kisasi kwa aliyekuwa mpenzi wake huyo wa zamani  Jay Edmunds (27), pamoja na mpenzi wake aliyejulikana kwa jina la Billy Hicks 24.
Kwa mujibu wa Afisa Upelelezi nchini humo, ameeleza kwamba Ashley alimshambulia Billy kwa kumchoma kisu katika kifua chake, wakati akijaribu kupambana nae na baada ya kutekeleza hayo alichukua petroli na kuichoma moto nyumba na kupelekea vifo vya watu watatu akiwemo yeye mwenyewe.
Aidha wakati polisi wakifanya upekuzi katika nyumba hiyo walikuta kipande cha karatasi kilichokuwa na ujumbe kutoka kwa Ashley kwenda kwa Jay, uliokuwa na maneno ya kumkashifu na kumdhihaki.
Katika tukio hilo Polisi wengine watano kutoka katika kituo cha polisi cha Linconshire, waliofika katika eneo hilo kwajili ya kufanya uokoaji, walijeruhiwa vibaya na moto uliolipuka wakati wakikaribia katika mlango wa mbele wa nyumba hiyo.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list