We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, September 11, 2019

Abdul arejea kikosini Yanga

Beki Juma Abdul ambaye wiki iliyopita alifiwa na mama yake, amerejea kikosini kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya ZESCO United
Abdul ameshiriki mazoezi ya jioni ya kikosi cha Yanga yaliyofanyika uwanja wa Nyamagana
Yanga imefanya mazoezi ya mwisho jijini Mwanza kabla ya kuanza safari ya kurejea jijini Dar es salaam
Nyota wengine waliorejea kikosini ni pamoja na Kelvin Yondani na Mohammed Issa 'Banka' waliokuwa na majukumu ya timu ya Taifa
Winga Patrick Sibomana na Farouk Shikalo huenda wakaungana na timu jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list