We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, September 11, 2019

KESI VIONGOZI CHADEMA: Shahidi adai maandamano yalitokana na matamshi ya viongozi

Shahidi wa nane katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, Bernad Nyambali, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa maandamano ya wafuasi wa Chadema yalitokana na hotuba zilizotolewa wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kinondoni.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list