Uongozi wa klabu ya Yanga umekisikia kilio cha wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo ambao wamekuwa wakihitaji kusajiliwa kuwa wanachama
Ni kwamba Yanga imezindua YANGA DIGITAL, utaratibu ambao utawawezesha kujisajili kupitia simu zao za mkononi
Kupitia mfumo huo shabiki unaweza kujisajili kuwa Mwanachama, kulipia ada, kupata taarifa na pia kuchangia mipango mbalimbali ya maendeleo
Utaratibu huu utakuwezesha kuwa karibu zaidi na Yanga

No comments:
Post a Comment