We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, August 30, 2019

Yaliyojiri kesi ya viongozi wa Chadema mahakamani Kisutu

Afisa uchaguzi wa Manispaa ya Kinondoni, Victoria Wihenge ambaye ni shahidi wa saba katika kesi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema akiwemo mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, ameieleza Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu hakuwahi kupokea malalamiko yoyote juu ya kauli zilizotolewa na viongozi hao wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Kinondoni.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list