We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, August 29, 2019

Waziri Jafo aeleza anavyotumia Trillioni 6

Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amesema wizara yake inafanyakazi kubwa kwa kusisimia fedha zaidi ya Trillioni 6 kwenye bajeti kuu ya serikali.

Jafo ameyasema hayo jijini Dodoma kwenye mahojiano Maalum na EATV&EA Radio Digital,juu ya masuala mbalimbali yanayosimamiwa na Wizara yake ikiwemo Elimu, Afya na Miundombinu.
''Wizara yetu ndio yenye dhamana kubwa zaidi na kila mwaka kwenye bajati inatengewa zaidi ya shilingi Trilioni 6, hivyo tuna jukumu kubwa la kuzitumia vizuri kama tunavyofanya hivi sasa kwa kuboresha Elimu, Vituo vya Afya pamoja usimamizi wa Uchaguzi wa serikali za Mitaa'', amesema Jafo.
Zaidi Tazama Video hapo chini.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list