Viongozi wa mataifa mbalimbali barani Afrika leo watakuwa na nafasi ya kushuhudia mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Azam Fc utakaopigwa saa moja jioni kwenye uwanja wa Taifa
Mkutano wa SADC unaendelea hapa nchini ambapo Marais na Mabalozi wa Mataifa mbalimbali wako nchini kuhudhuria Mkutano huo
Leo ikiwa ni wikiendi viongozi wengi wanatarajiwa kuwepo uwanja wa Taifa kushuhudia mchezo huo utakaozikutanisha timu hizo.

No comments:
Post a Comment