We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, August 29, 2019

Ufafanuzi wa Polisi juu ya taarifa zilizoenea zikidai DC katekwa

Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya wamekanusha taarifa ya kutekwa kwa DC wa Kyela Claudia Kitta pamoja na msafara wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya, huku wakithibitisha msafara huo kushambuliwa kwa mawe walipofika kumuokoa Mama aliyetaka kuuawa na Wananchi akidaiwa kumuua Mwanae wa kumzaa.
DC na wenzake wako salama hali ya amani na utulivu imerejea mimi nipo eneo la tukio, kuna Bwana amefariki kwenye uwanja wa mpira Wananchi wakawa wanahisi Mama yake Mzazi amemuua kwa imani za kishirikina, maiti ilipotaka kuzikwa wakakataa wakamtaka Mama yake amfufue”-POLISI MBEYA
“Kamati ya Ulinzi na Usalama wakiongozwa na DC wa Kyela walikuwa maeneo hayo katika ukaguzi wa mambo ya mwenge na mitihani, waliposikia taarifa za Mama kushambuliwa akidaiwa kumuua Mtoto wake, wakapita ili wajiridhishe, Wananchi wakafunga njia na kukazuka vurugu” – POLISI MBEYA
“Hakuna mtu ambaye amelazwa wala kujeruhiwa isipokuwa vurugu zilikuwa kubwa kidogo ila walijtahidi kutumia mbinu kujiokoa na sisi tuliwahi kufika na kuwasaidia, bado nipo hapa ili kufuatilia zaidi kujua waliohusika na vurugu hizo”– POLISI MBEYA

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list