Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanriameshangazwa na mwenendo wa ujenzi mradi wa Milioni 434 wa daraja linalojengwa mpakani mwa Tabora na Shinyanga katika kata ya Choma Wilaya ya Igunga baada ya kukuta Mkandarasi akiutekeleza mradi huo bila kuwa na mpango kazi.
“Tunataka hiyo program hapa si tu kwamba nitauliza ni mwezi wa ngapi nitasimamisha kazi na nataka ipatikane ndani ya wiki moja na nasema hamisha mizigo yako yote weka hapa kabla sijakwenda kukabidhi Mwenge nitarudi kukagua” RC Mwanri
No comments:
Post a Comment