Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi amesajiliwa na klabu ya Al-Ittihad Alexandria inayoshiriki ligi kuu ya Misri
Okwi ametambulishwa na timu hiyo leo baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili
Mshambuliaji huyo wa Kimataifa wa Uganda ametua nchini Misri baada ya dili lake la kuelekea Arabuni kukwama
Okwi alikuwa na mchango mkubwa kwa klabu ya Simba nyakati zote alizocheza

No comments:
Post a Comment