Kikosi cha Yanga jioni ya leo kimekamilisha maandalizi ya mchezo dhidi ya Kariobang Sharks kwa kujifua kwenye uwanja wa Uhuru
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili, August 04 kwenye kilele cha wiki ya Mwananchi ambayo maadhimisho yake yalianza tangu Julai 28
Mazoezi ya jioni yalimjumuisha mshambuliaji mpya David Molinga

No comments:
Post a Comment