Ajali ya ndege imetokea mkoani Tabora na kusababisha vifo vya watu wawili ambao ni rubani wa ndege hiyo na abiria wake.

Watu hao ni raia wa Afrika Kusini na walikuwa wakielekea nchini Malawi.
#AzamTVBreakingNews
Ajali ya ndege imetokea mkoani Tabora na kusababisha vifo vya watu wawili ambao ni rubani wa ndege hiyo na abiria wake.
Watu hao ni raia wa Afrika Kusini na walikuwa wakielekea nchini Malawi.#AzamTVUpdates #AzamTVApp #AzamUTV
28 people are talking about this

No comments:
Post a Comment