Pacha Anisia na Melnes walivyopokelewa jijini Dar baada ya upasuaji wa kuwatenganisha kufanikiwa
Watoto pacha Anisia na Melnes Bernard waliokuwa wameungana wamewasili nchini wakiwa na afya njema baada ya kumaliza matibabu ya kufanyiwa upasuaji na kutenganishwa katika Hospital ya King Abdallah iliyopo Nchini Saudi Arabia.
Wamefanyiwa upasuaji huo kwa msaada wa taasisi ya Mfalme Suleiman ya Saudi Arabia ambapo upasuaji huo ulitumia saa kumi na nne chini ya usimamizi wa madaktari zaidi ya thelatini na watano pamoja na wauguzi.
Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya
No comments:
Post a Comment