We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, August 28, 2019

Ombi la Mbunge wa Same Dr Mathayo kwa Wananchi wake kuhusu Rais Magufuli

Mbunge wa jimbo la Same Magharibi  CCM DrMathayo David Mathayo amewaomba wananchi wa  Jimbo la Same Magharibikumuunga mkono na kumuombea afya njema Rais Dr John Magufuli ili aweze kuendelea kuiongoza Tanzania izidi kupata maendeleo na kurudisha nidhamu katika sekta mbalimbali nchini.
Dr Mathayo ametoa kauli hiyo katika siku ya kwanza ya ziara yake ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020 kama aliyoahidi wakati akiomba ridhaa ya kuwaongoza wananchi wa jimbo hilo ambapo akizungumza na wananchi wa kata za Msindo, Mshewa na Mhezi mhemiwa Mathayo amesema serikali ya awamu ya tano imeonesha mafanikio lukuki katika Nyanja mbalimbali.
Mbunge huyo amekabidhi vifaa mbalimbali alivyoahidi katika kata hizo zikiwemo pia fedha taslimu huku akitoa rai kwa uongozi wa kila kata kuhakikisha vifaa hivyo vinatumika ndani ya kipindi cha miezi mitatu.
Katika kata ya msindo Dr Mathayo ametoa fedha ,mifuko ya saruji,mabomba ya maji,ambapo katika kata ya mshiwa Dr Mathayo amekabidhi mifuko ya saruji na fedha taslim kwa ajili ya shughuli za marendeleo kiasi cha Tsh milioni 13 laki 9 na Zaidi ya shilingi milioni tisa katika kata ya Mhezi Zaidi ya shilingi milioni tisa na mifuko ya saruji.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list