Usajili wa CAF kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa ulifungwa usiku wa kuamkia jana, Yanga ilikamilisha usajili wake kwa kuongeza mshambuliaji mmoja David Molinga ambapo hata hivyo walilazimika kulipa dola 500 kuweza kumuandikisha
Molinga amechukua nafasi ya Klaus Kindoki
Hiki hapa kikosi cha Yanga CAF
1. Farouq Shikalo
2. Metacha Mnata
3. Ramadhani Kabwili
4. Paulo Godfrey
5. Juma Abdul
6. Mwarami Issa
7. Jaffar Mohammed
8. Andrew Vicent
9. Kelvin Yondani
10. Ally Ally
11. Mustafa Suleyman
12. Ally Mtoni
13. Lamine Moro
14. Papy Tshishimbi
15 Feisal Salum
16. Abdulaziz Makame
17. Mohammed Issa
18. Patrick Sibomana
19. Raphael Daudi
20. Issa Bigirimana
21. Mapinduzi Balama
22. Deus Kaseke
23. Mrisho Ngasa
24. Sadney Khoetege
25. Maybin Kalengo
26. Juma Balinya
27. David Molinga

No comments:
Post a Comment