Klabu ya Yanga leo imezindua jezi kwa ajili ya msimu wa 2019/20
Jezi hizo zitatumika kwenye ligi kuu, ligi ya mabingwa, kombe la FA na mashindano mengine ambayo Yanga itashiriki msimu ujao
Mapokezi ni mazuri kutoka kwa mashabiki, kilichobaki ni kwa shabiki wa Yanga kwenda kununua jezi halisi kutoka maduka ya GSM
GSM inatarajiwa kusambaza jezi hizo nchini nzima kupitia kwa Mawakala wake ambao watatangazwa baadae
Kwa sasa unaweza kujipatia jezi kwenye maduka ya GSM jijini Dar es saam na Makao Makuu ya klabu ya Yanga

No comments:
Post a Comment