Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Joseph Kasheku Msukuma amesema kuwa wapo viongozi wa serikali wanaomzunguka Rais Dk. John Magufuli, na kushangilia kukamatwa kwa ndege ya Air Tanzania nchini Afrika ya Kusini ambapo amesema atawataja kama akipewa ulinzi.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment