Leo ni siku muhimu kwa wapenzi, mashabiki na Wanachama wa klabu ya Yanga ambapo wiki ya Mwananchi inahitimishwa uwanja wa Taifa
Kudhirisha umuhimu wa siku hii, tayari idadi kubwa ya mashabiki wamefurika uwanja wa Taifa
Njiani msululu wa mashabiki wanaoelekea uwanjani ni mkubwa pia
Mageti ya uwanja yatafungwa saa nane mchana, hivyo kwa wanaelekea uwanjani ni muhimu kuwahi ili kuwa sehemu ya historia inayokwenda kuandikwa leo

No comments:
Post a Comment