Klabu ya Liverpool imeshindwa kufurukuta mbele ya mabingwa watetezi wa EPL, Man City kwa kukubali kichapo cha goli 5-4 kwenye mchezo wa ngao ya jamii.

Man City walionekana kutawala mchezo huo kipindi cha kwanza na walifanikiwa kupata goli, Kabla ya Liverpool kusawazisha goli hilo kipindi cha pili.
Penati ya Liverpool imekoswa na GeorginioWijnaldum, Na ndio imewanyima ubingwa wa taji la Ngao ya jamii nchini England msimu wa 2019/20 .
No comments:
Post a Comment