Jumamosi ijayo, August 24 Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi nchin Botswana kwenye mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers
Msafara wa kikosi cha Yanga uliojumuisha wachezaji 21 wameondoka mapema leo kuelekea Afrika Kusini
Baadae Yanga itaunganisha kwenda Botswana ikitokea huko Afrika Kusini
Hiki hapa kikosi kilichosafiri;
1. Metacha Mnata
2. Paulo Godffrey
3. Kelvin Yondani
4. Muharami Issa
5. Ally Mtoni
6. Lamine Moro
7. Papy Tshishimbi
8. Mapinduzi Balama
9. Mohamed Issa
10. Ramadhani Kabwili
11. Sydney Khoetage
12. Rafael Daudi
13. Juma Balinya
14. Patrick Sibomana
15. Ally Ally
16. Jafari Mohamed
17.Feisal Salum
19. Issa Brigimana
20. Deusi Kaseke
21. Mrisho Ngasa
2. Paulo Godffrey
3. Kelvin Yondani
4. Muharami Issa
5. Ally Mtoni
6. Lamine Moro
7. Papy Tshishimbi
8. Mapinduzi Balama
9. Mohamed Issa
10. Ramadhani Kabwili
11. Sydney Khoetage
12. Rafael Daudi
13. Juma Balinya
14. Patrick Sibomana
15. Ally Ally
16. Jafari Mohamed
17.Feisal Salum
19. Issa Brigimana
20. Deusi Kaseke
21. Mrisho Ngasa
Mlinda lango Farouk Shikalo, Mustafa Suleyman na David Molinga ni miongoni mwa wachezaji waliobaki baada ya kukosekana kwa leseni zao

No comments:
Post a Comment