We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, August 19, 2019

"HAKUNA MWALIMU ATAKAYEBAMBIKIWA KESI KISA HAIUNGI MKONO CCM" - RAS IRINGA

Katibu Tawala Mkoa wa Iringa Happyness Seneda amesema wanachunguza kujua kama ni kweli Afisa Elimu wa Mkoa huo alitoa matamashi yaliyolenga kuwapa vitisho Walimu wasioiunga mkono CCM na ikithibitika watamchukulia hatua kali za kisheria huku akitoa angalizo kuwa jina la Afisa Elimu wa Iringa wa sasa halishabihiani na lililopo kwenye taarifa inayosambaa mitandaoni.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma Habari mpya.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list