We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, July 13, 2019

Zitto Kabwe kuunguruma na viongozi wa majimbo Dar


Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe leo anatarajia kufanya kikao na  viongozi wa majimbo ya mkoa wa Dar es salaam.

Katika taarifa iliyotolewa na Ado Shaibu, Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi, ACT Wazalendo imesema kuwa kikao hicho kitafanyika katika ukumbi wa Msimbazi Center ilala.

Hata hivyo waandishi wa habari wamealikwa katika hotuba ya ufunguzi. 

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list