Wanayanga kote nchini wanaendelea na maadhimisho ya wiki ya Mwananchi kwa kujitolea kufanya shughuli mbalimbali za kijamii
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amekuwa sehemu ya Wananchi kwa kujitolea kufanya usafi mkoani Morogoro akiwa na viongozi waandamizi wa timu hiyo
Pongezi nyingi kwa kocha Zahera kwani anadhihirisha uwepo wake Yanga sio wa bahati mbaya...!
Ameonyesha kwa vitendo kuwa yeye ni mmoja wa wanafamilia ya Yanga
No comments:
Post a Comment