We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, July 28, 2019

Waziri aagiza mfanyabiashara kukamatwa

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amemuagiza Mkuu wa wilaya ya Mbozi, John Palingo, kumkamata mfanyabiashara aliyewauzia wakulima mbegu feki katika wilaya hiyo na kupelekea kuathiri mavuno kwa wakulima.

Kauli hiyo ameitoa kufuatia swali la mkulima mmoja mkazi wa Kijiji cha Malolo, Isaya Nyondo ambaye alitaka kujua hatua zipi zinachukuliwa na serikali kufuatia kuuziwa mbegu feki na hivyo kufanya washindwe kuvuna mwaka huu.
"Katika hili namuagiza Mkuu wa Wilaya kumkamata msambazaji wa mbegu hizo ili hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa", amesema Hasunga.
Hasunga amesema kuwa Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli imekusudia kuimarisha Sekta ya Kilimo hivyo mfanyabiashara yeyote anayecheza na ufanisi wa wakulima atachukuliwa hatua Kali za kisheria.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list